Nembo rasmi Miaka 60 ya Muungano

DODOMA: PICHANI ni Nembo rasmi ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano. Siku 18 pekee zimesalia kuelekea katika kilele cha maadhimisho hayo Aprili 26, mwaka huu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua nembo hiyo leo Aprili 08, 2023 jijini Dodoma.

Habari Zifananazo

Back to top button