NEMC yaja na usafi kampeni 2025
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limezindua kampeni mpya ya usafi iitwayo “NEMC Usafi Campaign 2025” yenye lengo la kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu usafi wa mazingira. Kampeni hiyo ambayo itatekelezwa kwa ushirikiano na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, mamlaka za mikoa na halmashauri, taasisi binafsi, asasi zisizo za kiserikali na wananchi, … Continue reading NEMC yaja na usafi kampeni 2025
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed