NEMC yatafiti kuoza mifuko mbadala
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limesema linaendelea kutafi ti uwezo wa kuoza mifuko mbadala. Mkurugenzi Mkuu NEMC, Dk Immaculate Sware Semesi amesema hayo Dodona wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya taasisi hiyo katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita. Dk Semesi alisema utafiti huo unafanyika kuainisha … Continue reading NEMC yatafiti kuoza mifuko mbadala
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed