Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipita katika eneo zilipong’olewa mashine 88 za kiwanda cha nguo cha Urafiki, Dar es Salaam wakati alipotembelea kiwanda hicho jana. Kiwanda hicho kimesimamisha uzalishaji tangu Desemba mwaka jana