loader
Picha

Mpenzi amkataza Nandy kumuongelea Billnass

MSANII wa muziki Bongo, Faustine Charles au Nandy amesema amekatazwa na mpenzi wake kumzungumzia kilichotokea kati yake na Billnass.

Mwezi mmoja uliopita Nandy na Billnass walionekana kwenye video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, iliyozuwa utata na kutaka kutolea maelezo polisi,hata hivyo walisamehewa.

Akizungumza na Clouds FM, Nandy alisema kuwa mara nyingi amekuwa akiulizwa swali hilo, lakini hawezi kujibu chochote kwani amekatazwa na mpenzi wake.

“Unavyoniuliza maswali sijui ya Bill Nass nimeshakatazwa na Boyfriend wangu kuyaongelea mambo hayo,” alisema Nandy. Nandy alisema aliumizwa sana kutokana na video hiyo na kuongeza kuwa jambo hilo limepita na kuongeza kuwa

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo (pichani) amesema wamesafi ri umbali ...

foto
Mwandishi: Rahimu Fadhili

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi