Ngoma Mchezaji Bora Muungano

ZANZIBAR; Kiungo wa Simba ya Dar es Salaam, Fabrice Ngoma ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa michuano ya Kombe la Muungano iliyomalizika muda mfupi uliopita Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.

Katika michuano hiyo timu ya Simba imeibuka bingwa baada ya kuifunga Azam FC pia ya Dar es Salaam bao 1-0 mfungaji akiwa kiungo Msenegal Babacar Sarr dakika ya 77.

Habari Zifananazo

Back to top button