Nkoronko atangaza nia ubunge Sumbawanga
SUMBAWANGA:MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge wa Sumbawanga Mjini kupitia chama hicho. Akizungumza na mtandao huu mapema leo, Nkoronko amesema amefikia hatua hiyo baada ya kutambua hatma ya dunia ipo mikononi mwa vijana. “Vijana wenzangu hatutakiwi kuogopa kuonyesha uwezo wetu, tu a … Continue reading Nkoronko atangaza nia ubunge Sumbawanga
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed