Nkunku nje miezi mitatu

BREAKING: Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Christopher Nkunku atakuwa nje ya uwanja kwa miezi mitatu na nusu kufuatiwa kufanyiwa usapuaji wa goti.

Nkunku aliumia Agosti 2, 2023 katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Borrusia Dortmund ulioisha kwa sare ya bao 1-1.

Juni 20, 2023 Chelsea ilimnasa Mfaransa huyo kutoka RB Leipzig kwa ada ya uhamisho wa pauni milioni 52

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button