Obasanjo avishwa nishani ya heshima
DAR ES SALAAM; Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama akimvalisha Nishani ya Heshima Rais Mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo kwa kutambua mchango wake katika eneo la Amani na Usalama Barani Afrika, wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza hilo. Maadhimisho hayo yanafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JICC), Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)