Odama hataki mtoto wake awe msanii

DAR ES SALAAM. Msanii wa filamu Jenifer Kyaka ‘Odama’, amesema hapandi kumuona mwanawe akiingia katika masuala ya filamu.

Akizungumza Dar es Salaam, Odama amesema anatamani mtoto wake ajihusishe na masuala mengine, lakini sio sanaa hasa ya uigizaji.

“Binafsi sitaki mwanangu ajihusishe na sanaa, afanye mambo mengine, nimeigiza mama yake inatosha, yeye napenda afanye mambo tofauti na sanaa,”amesema

 

 

Habari Zifananazo

Back to top button