Onyango atua Singida Fountain Gate

BEKI Joash Onyango amejiunga na Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba SC.

Awali taarifa zilieleza Simba wangemtoa kwa mkopo baada ya mchezaji kuomba kuondoka klabuni hapo.

Mkataba wa Onyango Simba ulibaki mwaka mmoja.

Advertisement

6 comments

Comments are closed.