Palhinha ajipiga kitanzi Fulham

KIUNGO Joao Palhinha amesaini mkataba mpya na Fulham utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2028, wenye kipengele cha kuongeza mwaka mwingine.

“Historia nyingi sana nimezipitia, umesikia mengi sana kuhusu mustakabali wangu, ila nimechakuwa kubaki Fulham.” amesema Palhinha.

Ameongeza” siku zote natoa asilimia 100 kwa ajili ya klabu.”

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button