KUNA uwezekano kiungo, Kalvin Phillips akaondoka Manchester City kwenye dirisha la usajili mwezi Januari kwa sababu anahitaji muda wa kucheza.
Kama mchezaji wa kandanda, unataka kucheza kila wakati… na hivyo ndivyo hali yangu nataka dakika”.amesema Phillips
“Sijafanya hivyo kwa mwaka mmoja na nusu uliopita, kwa hivyo hilo ni jambo moja ninalotaka kufanya – pia kwa Euro. “Dirisha la Januari? Ngoja tuone kitakachotokea.” Ameongeza.
Kalvin alijiunga na Man City kutoka Leeds mwaka wa 2022 kwa ada ya £45m –