Picha7: Majaliwa akizungumza na waathirika mafuriko

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 05, 2023 ametembelea kambi ya muda ya waathirika wa maafa ya mafuriko yaliyosababisha uharibifu wa nyumba na miundombinu mingine kutokana kuporomoka kwa tope na mawe katika mlima Hanang, Katesh mkoani Manyara.

Waathirika hao walio katika kambi hiyo ya muda wanaohudumiwa na Serikali na wameishukuru kwa jitihada zilizofanyika kuhakikisha wanapata huduma muda wote.

Advertisement

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waathirika wa maafa hayo leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliyekaa upande wa kulia (chini) akizungumza na mmoja ya waathirika wa maafa hayo leo.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimskiliza mmoja wa waathirika wa maafa ya mafuriko leo

Magodoro yakiwa kwenye kambi kwa ajili ya matumizi

Mazungumzo yakiendelea kati ya Waziri Mkuu na waathirika wa maafa ya mafuriko

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimskiliza mmoja wa waathirika wa maafa ya mafuriko leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimskiliza mmoja wa waathirika wa maafa ya mafuriko leo

13 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *