PICHA: Mapokezi ya Rais Samia mkoani Lindi

Rais wa Tanzania Dk, Samia Suluhu leo atawasili Mkoani Lindi kwenye Maadhimisho ya Kilele cha siku ya Ukimwi Duniani yaliyofanyika Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi na kisha ataelekea Uwanja wa Ndege Mkoani Mtwara kwa ajili ya kupanda Ndege.

Wananchi wakiba barabarani kusubiri msafara wa Rais Samia

Wananchi wakiwa wameshikilia mabango kusubiri ujio wa Rais Samia

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button