Picha: Uapisho

ZANZIBAR; Rais wa  Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan, akiwaapisha viongozi wateule kwenye hafla iliyofanyika Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar leo Julai 5 , 2024. Viongozi hao walioapa ni: Dk Selemani Saidi Jafo, Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kachwamba Kijaji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Yahya Ismail Samamba Katibu Mkuu Wizara ya Madini na Yusuph Juma Mwenda Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Habari Zifananazo

Back to top button