Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohammed Said akitoa salamu za POLE kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nchi ya Morocco na Libya kufuatia majanga ya mtikisiko wa ardhi na mafuriko yaliotokea nchini humo.
Salamu hizo amezitoa nchini Saudi Arabia wakati akizungumza katika Mkutano wa Kimataifa kuhusiana na maeneo ya Hifadhi na Urithi wa Dunia.