Ndege ya Shirika la Ndege la Precision Air imepata ajali na kuanguka katika Ziwa Victoria karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
Chanzo cha ajali hakijafahamika hata hivyo abiria 23 kati ya 49 wanaosadikiwa kuwa katika ndege hiyo wameokolewa.
Ndege ya Shirika la Ndege la @PrecisionAirTz imepata ajali na kuanguka katika Ziwa Victoria karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
Chanzo cha ajali hakijafahamika hata hivyo abiria 23 kati ya 49 wanaosadikiwa kuwa katika ndege hiyo wameokolewa. #HabarileoUPDATES pic.twitter.com/QNSQDIMosy— HabariLeo (@HabariLeo) November 6, 2022
Comments are closed.