Prodyuza Tongwe Records afariki

Walimu, mume, mke, watoto wakutwa wamekufa

MTAYARISHAJI wa muziki kutoka ‘Tongwe Records’ Geof Master amefariki dunia, taarifa ya msanii Roma Mkatoliki inaeleza.

Taarifa kuhusu kifo chake ameitoa msanii huyo kupitia mitandao yake ya kijamii. Roma amewahi kufanya kazi na Geof Master.

“Nimempoteza kaka yangu, pacha wangu, rafiki yangu na produza wangu (Tongwe Records).“ ameandika Roma.

Advertisement