Prof. Nombo: Uongozi bora ndio silaha

DAR ES SALAAM: UONGOZI bora, usimamizi na uendeshaji wa elimu ulio mzuri una mchango mkubwa katika maendeleo ya shule na elimu kwa ujumla.

Hayo yamesemwa wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo katika uzinduzi wa kitaifa wa mafunzo ya uongozi na usimamizi wa Shule kwa walimu wakuu wa Shule za Msingi nchini.

Amesema kwa sasa Serikali inaendelea na mabadiliko makubwa katika Sekta ya elimu ikiwemo kuhuisha Sera ya elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 na mabadiliko ya mitaala hivyo suala la uongozi wa elimu katika rasimu hiyo ya sera limepewa kipaumbele.

“ADEM katika mabadiliko hayo mna wajibu mkubwa kusaidia Serikali kufikia malengo kwa kutoa mafunzo yatakayowajengea uwezo viongozi wa elimu katika maeneo mbalimbali ikiwemo kupanga mipango kimkakati, usimamizi wa ufundishaji na ujifunzaji, utawala bora usimamizi wa rasilimali, miiko na maadili ya kazi, ulinzi, haki na usalama wa watoto na huduma kwa mteja kama kushughulikia malalamiko kwa wakati “amesema Prof. Nombo

Akizungumzia mafunzo yanayofanyika amesema ni utekelezaji wa Mradi wa BOOST kupitia afua yenye lengo la kuimarisha usimamizi na utawala bora katika utoaji wa elimu ngazi ya shule katika Mamlaka za Serikali za Mitaa. Zaidi ya Sh bilioni tatu zitatumika kutoa mafunzo kwa walimu wakuu zaidi ya 4500 katika awamu ya kwanza kutoka Mikoa saba.

“Kwa sasa tumeanza na mikoa saba kwa idadi hyo ya walimu zaidi ya 4500, lengo la Serikali ni kutoa mafunzo kwa walimu wakuu wapatao 17,891,”amesema Prof. Nombo

Ametaja Mikoa ambayo mafunzo yanatolewa katika awamu ya kwanza kuwa ni Pwani, Dar es Salaam, Njombe, Songwe, Morogoro, Dodoma na Mara

Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa ADEM Dkt. Siston Masanja amesema mafunzo yoyote yanapotolewa yanalenga kutoa ujuzi, maarifa na kubadilisha mitizamo hivyo amewaomba walimu wakuu kupitia mafunzo hayo yenye lengo la kuimarisha usimamizi na utawala bora katika utoaji wa elimu yakawe chachu ya kuleta mabadiliko ya kiufanisi katika utendaji.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Dona
Dona
2 months ago

I g­e­t­ o­v­e­r­ ­­2­5­k­ ­u­s­d­ ­a­ ­m­o­n­t­h­ ­w­o­r­k­i­n­g­ ­p­a­r­t­ ­t­i­m­e­.­ ­I­ ­k­e­p­t­ ­h­e­a­r­i­n­g­ ­o­t­h­e­r­ ­p­e­­o­p­l­e­ ­t­e­l­l­ ­m­e­ ­h­o­w­ ­m­u­c­h­ ­m­o­n­e­y­ ­t­h­e­y ­c­a­n­ ­m­a­k­e­ ­o­n­l­i­n­e­ ­s­o­ ­I­ ­d­e­c­i­d­e­d­ t­o l­o­o­­k ­i­n­t­o­ i­t. W­e­l­l­,­ ­i­t­ w­a­s­ ­a­l­l­ ­t­r­u­e ­a­nd h­a­s to­t­a­l­ly ch­a­n­g­e­d­ ­m­y l­i­f­e­…T­h­i­s i­s w­h­a­t I­ d­o,C­o­p­y B­e­l­l­o­w ­W­e­b­s­i­t­e

Just open the link———————->> http://Www.Smartcash1.com

Last edited 2 months ago by Dona
money
money
2 months ago

WIZARA YA NDOTO

HOTUBA YA WIZARA YA NDOTO

ULIMWENGU WA NDOTO

One. DEREVA BODABODA ANA NDOTO YA KUMILIKI KAMPUNI YA NDEGE

Two. MUUZA MBOGAMBOGA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA MBOGA MBOGA

Three. MUUZA VITUNGUU SUMU ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA VITUNGUU SUMU

Four. MUUZA NYANYA ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NYANYA

Five. MUUZA MAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KIWANDA CHA NDEGE

Six. MUUZA BAR ANA NDOTO YA KUMILIKI KUJENGA BAR

Seven. MUUZA FREMU ANA NDOTO YA KUMILIKI SHOPPING MALLS

Eight. MGANGA WA KIENYEJI ANA NDOTO YA KUMILIKI HOSPITALI

Nine. MPIGA DEBE ANA NDOTO ZA KUMILIKI KAMPUNI YA MABASI

Ten. MAMA NTILIE ANA NDOTO YA KUMILIKI HOTELS

Eleven. MCHEKESHAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION

Twelve. MTANGAZAJI ANA NDOTO YA KUMILIKI KITUO CHA TELEVISION

Upo sahihi “tukasomeeeeeee tueleweeeeeee Saaaana

Fursa BABA YETU ULIE MBINGUNI NA BWANA YESU ASIFIWE – IMPORT WATU FROM US TO TZ……..

UKIKUTANA NA MZUNGU AKUPE BRIEFCASE YA HELA UTEKELEZE VYOTE MWENYEWE

OIP (1).jpeg
MONEY
MONEY
2 months ago

KWELI WEWE JAMAA KWAKO HAKUNA BAG

TUNZA MAZINGIRA YAKUTUZE… UTAKACHOONDOA NDIO KAZI..

100% KIWEKWACHO HUMO HUTENGENEZWA NA WANAWAKE

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image002.jpg

file:///C:/Users/User/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image004.jpg

Capture.JPG
Back to top button
3
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x