PURA yajivunia mafanikio kupitia Baraza la Wafanyakazi

DODOMA: Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), Charles Sangweni amesema ufanisi wa mamlaka hiyo unatokana na utendaji wa baraza hilo.

Mhandisi Sangweni ameyasema hayo kabla ya kulivunja rasmi baraza hilo la kwanza katika kikao chake cha saba, kutokana na baraza hilo kufikia ukomo wake kwa mujibu wa mkataba ulioingiwa baina ya PURA na Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE).

“Tunajivunia kazi kubwa iliyofanywa na baraza hilo katika kuchochea maendeleo ya taasisi ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa ushirikishwaji wa watumishi katika maamuzi na utekelezwaji wa majukumu mbalimbali ya PURA,” alieleza.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi PURA wakiimba wimbo wa kuhamasisha mshikamano wakati wa kikao cha saba na cha mwisho cha Baraza hilo la Kwanza kilichofanyika hivi karibuni.

Aliongeza kuwa kutokana na ushirikishwaji huo, wafanyakazi wamepata motisha zaidi ya kufanya kazi kwa ari, ushirikiano na ubunifu na hivyo kuiwezesha taasisi kuendelea kutimiza majukumu yake katika shughuli za mkondo wa juu wa petroli.

Sangweni alibainisha kuwa Baraza la Pili litaanza kazi rasmi mwezi Januari 2024 kwenye kikao chake cha kwanza ikiwa ni baada ya kufanyika uchaguzi wa wajumbe wapya kwa ngazi ya taasisi.

Kwa upande wake Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania-TUCTA, Heri Mkunda amelipongeza baraza hilo kwa kazi waliyoifanya na kutoa pongezi mahususi kw menejimenti ya PURA kwa kuendelea kutengeneza mazingira bora ya kazi kwa wafanyakazi ili kuboresha utendaji wao.

Ametoa pia rai kwa wafanyakazi wa Mamlaka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa maslahi mapana ya taifa kupitia sekta ndogo ya mafuta na gesi nchini.

“Mna wajibu mkubwa wa kufanya kazi kwa bidii, kwa kujituma na kushirikiana ili kutimiza malengo na majukumu yaliyokasimiwa kwa taasisi kwa mujibu wa sheria na miongozo ya nchi,” aliongeza.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
5 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
yojisob442
29 days ago

Making cash is very easy an simple nowdays. 2023 is the year of making money online . I am here to tell you guys that its so easy to make more than $15k every month by working online. I have joined this job 3 months ago and on my first day of working without having any experience of online jobs I made $524. This is just amazing. Join this now by follow instructions here….> www.work.profitguru7.com

AnnaThomas
AnnaThomas
Reply to  yojisob442
28 days ago

JOIN US I’m making a good salary from home 16580-47065/ Doller week , which is amazing under a year ago I was jobless in a horrible economy. I thank God every day I was blessed with these instructions and now it’s my duty to pay it forward and share it with Everyone,
Here is I started.…………> http://Www.Smartwork1.Com

yojisob442
29 days ago

Im making cash making is very easy and simple nowdays. 2023 is the year of making money online. i am here to tell you guys that its so easy to make more than $15k every month by working online. i have joined this job 3 months ago and on my very first day of working without having any experience of online jobs i made $524. this is just amazing. join this now by follow instructions here….> www.work.profitguru7.com

Mary J. Paris
29 days ago

Start making more money weekly… This is a valuable part time work for everyone… The best part ,work from comfort of your house and get paid from $10k-$20k each week … Start today and have your first cash at the end of this week…
HERE ??www.work.profitguru7.com

Julia
Julia
29 days ago

I am making $162/hour telecommuting. I never imagined that it was honest to goodness yet my closest companion is earning $21,000 a month by working on the web, that was truly shocking for me, she prescribed me to attempt it simply.
.
.
Detail Here——————————————————–>>>  http://Www.BizWork1.Com

Back to top button
5
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x