Raia wa India kortini kesi ya uhujumu uchumi
SHINYANGA; Kahama. RAIA watatu wa India, leo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wakituhumiwa makosa mbalimbali ikiwemo uhujumu uchumi na kuishi nchini bila vibali.
–
Watuhumiwa hao ni Kerai Dervaj Khmji maarufu babu jii ,Nehal Mehta na Jaydeep Kumar Parekh, ambao walikuwa wakiendesha kampuni ya ununuaji wa madini ya dhahabu iitwayo Nadoyo Minerals Trade Company.
–
Imeandaliwa na Kareny Masasi.