Rais ampa 5 mtoto Goziberti
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimpongeza mtoto Goziberti Bwele wa kikundi cha Ngoma za Asili cha Utandawazi Theater Group (Matwigachallo) kutoka Ukerewe kutokana na umahiri wake wa kupiga ngoma kwenye Tamasha la Utamaduni wa Kisukuma Bulabo