Rais Dk Samia ataka haki, demokrasia kuimarishwa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu amemwagiza Katibu Mkuu na timu yake kuhakikisha chama hicho kinasimamia mifumo ya utoaji haki demokrasia na uongozi bora.

Dk Samia amesema hayo leo katika Mkutano wa 10 wa chama hicho unaofanyika Dodoma ambapo amesema kuwa mifumo hiyo inatakiwa kwenye chama hicho kwani malalamiko mengi waliyopokea kwenye uchaguzi ni kuhusu masuala hayo.

“Tumeambiwa walimu wapo wengi hapa, Bashiru mwalimu, Makamba Mh Rais Jakaya mwalimu kwahiyo tuwatumie kulifanya hili,”amesema Dk Samia.

Habari Zifananazo

Back to top button