Rais Mwinyi aizawadia Yanga mil 100/-
ZANZIBAR: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga Sh milioni 100, kwa kutambua ushindi na mafanikio makubwa waliopata katika msimu wa mwaka 2024/2025. Rais Dk Mwinyi ameyasema hayo leo Juni 30, 2025 alipokutana na viongozi pamoja na wachezaji wa Yanga waliofika Ikulu kwa ajili ya … Continue reading Rais Mwinyi aizawadia Yanga mil 100/-
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed