Rais Samia ataka mabadiliko Singida

awataka kutumia fursa zilizopo kujikwamua kiuchumi

SINGIDA: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wananchi mkoani Singida kuhakikisha wanaendelea na kampeni ya mabadiliko ya tabia watu na kuanza kutumia vizuri fursa zilizopo katika Mkoa huo ili waweze kufaidika.

Akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Singida, Rais Samia amesema wana Singida wanapaswa kujitathmini kwanini kiwango cha maendeleo ya Mkoa huo yanakuwa duni licha ya ukweli kuwa unakabiliwa na changamoto za asili kama mabadiliko ya tabianchi kwa hupokea kiwango kidogo cha mvua kwa mwaka lakini wamezungukwa na fursa na rasilimali kadha wa kadha.

Amezitaja fursa za kilimo, madini, ufugaji nyuki na miradi ya mabwawa ya kuhifadhi maji kama nyenzo ambazo zinapaswa kutumika ili kupelekea maendeleo.

“Tuwaelekeze na kuwafundisha wananchi kupanda mazao yanayostahamili ukame, pia zao la korosho linakubali katika Mkoa wa Singida,” amesema Rais Samia.

Ziara yake mkoani Singida itamalizika katika jimbo la Iramba Mashariki ambapo atazindua mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria hadi Singida.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Julia
Julia
1 month ago

I recently received my first check for a total of $13,000. This is when I first truly obtained anything, and I feel so energised. I will now work much harder, and I can scarcely wait till the installment the following week.
.
.
Detail Here————————————————————->>>  http://Www.BizWork1.Com

Caitlin Miah
Caitlin Miah
Reply to  Julia
1 month ago

I make up to $90 an hour working from my home. My story is that I quit working at Walmart to work online and with a little effort I easily bring in around $40h to $86h… Someone was good to me by sharing this link with me, so now i am hoping i could help someone else out there by sharing this link… 

Try it, you won’t regret it!….. http://www.easywork7.com

Last edited 1 month ago by Caitlin Miah
Cathy A. Merrill
Cathy A. Merrill
1 month ago

I’ve gained only within four weeks by comfortably working part-time from home. Immediately when I had lost my last business, mtg I was very troubled and thankfully
following website___________ http://Www.Careers12.com

Last edited 1 month ago by Cathy A. Merrill
Work AT Home
Work AT Home
1 month ago

Google pays $300 on a regular basis. My latest salary check was $8600 for working 10 hours a week on the internet. My younger sibling has been averaging $19k for the last few months, and he constantly works approximately 24 hours. I’m not sure how simple it was once I checked it out. 

This is my main concern………. http://Www.Smartcash1.com

Last edited 1 month ago by Work AT Home
Back to top button
4
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x