Rais Samia atengua uteuzi wa Gekul
RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Gekul kuanzia leo Novemba 25, 2023.
–
Taarifa hiyo imethbitishwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhuru Yunus kupitia mitandao ya kijamii ya Ikulu.
–