Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amefanya mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Manfredo Fantl katika Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Pichani>>Rais Samia akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Manfredo Fantl, Ikulu Chamwino leo 04 Julai, 2023.
Pichani>>Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini, Manfredo Fantl mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Dodoma leo Julai 04 2023.
Comments are closed.