Rais Samia ateua bosi TPHPA
RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Joseph Canicius Ndunguru kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya Mimea na Viuatilifu ( TPHPA).
Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 24, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhuru Yunus imeeleza kuwa uteuzi huo umeanza Oktoba 21, 2023.