RAIS Samia Suluhu Hassan leo amemteua Adam Charles Mihayo kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara (TCB)
–
Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhuru Yunus imeeleza kuwa uteuzi huo umeanza Novemba 19, 2023.
–
Adam Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania.
Home Rais Samia ateua mtendaji mkuu TCB
Comments are closed.