Rais Samia atoa Sh 92 milioni ahadi Ndondo Cup

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake ya kuchangia Sh milioni 92 kwa washindi wa Ndondo Cup.

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa leo akizungumza na Clouds FM, amesema mgawanyo wa fedha hizo ni kuanzia walioshiriki hatua ya makundi.

Msigwa amekabidhi fedha hizo kwenye kipindi cha michezo cha SportsXra kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Habari Zifananazo

1 Comment
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button