Rais Samia atumbua watano

RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa  Wakurungezi wanne na Mkuu wa Wilaya ya Mbarali

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus iliyotolewa leo Januari 24, 2022 imewataja waliotenguliwa kuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Reuben Mfune, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Musoma Msongela Palela na  Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Iramba, Singida Michael Matomora.

Wengine ni Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Ushetu Shinyanga, Pius Mwageni na Sunday Ndori Mkurugenzi mtendaji wa halmashauir ya Ludewa, Njombe.

“Utenguzi huu ulianza jana Januari 22, 2023.” Imesema taarifa hiyo ya Zuhura.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x