Rais Samia aviita pamoja vyama vya siasa

DODOMA: RAIS Samia ameviomba vyama vya siasa nchini kukaa pamoja na kuona wapi wamekosea ili kurekebisha kwa lengo la kuendeleza taifa lenye amani.

Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akitoa hotuba ya kufungua bunge la 13 bungeni jijini Dodoma leo.

“Na hayo yatafanyika kwa kufuata mila, desturi zetu, miongozo yetu, kanuni zetu, mitindo yetu ya maisha na sio kwa shinikizo,” amesema Rais Samia.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button