Rais Samia awasili KIA kuelekea Arusha

Rais Samia Suluhu amewasili uwanja wa ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) akielekea mkoani Arusha kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupambana na Rushwa barani Afrika.

Nchi wanachama wa Umoja wa Afrika zinadhimisha miaka 20 ya utekelezaji wa Mkataba wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa (AUCPCC).

Habari Zifananazo

3 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button