Rais Samia azindua kituo cha umeme Mpomvu – Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Habari Zifananazo

Back to top button