Rais Samia kuzuru Afrika Kusini

DAR ES SALAAM – RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku moja nchini Afrika Kusini ambapo atashiriki hafla ya uapisho wa Rais wa Taifa hilo, Cyril Ramaphosa.

Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imesema, Rais Samia atasafiri jioni ya leo kuelekea Afrika Kusini.

Habari Zifananazo

Back to top button