DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali inakusudia kupunguza idada ya askari barabarani kwa kuweka mifumo ya kamera ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia.
Rais Samia amesema kwa kutumia teknolojia hiyo dereva anayekengeuka barabarani atarekodiwa kwa kamera na kutozwa faini katika mfumo wa kama ilivyo katika nchi zingine zilizoendelea.
Imeandaliwa na Mwandishi Wetu