RAS Arusha ataka mikopo ikusanywe iwafaidishe wengine
ARUSHA: KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Musa ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kuhakikisha inakusanya fedha za mikopo ya 10% inayotolewa na serikali kupitia wanawake, vijana na makundi maalum ili kuwezesha mikopo mingine kutolewa. Aidha, hoja zinazozalishwa zijibiwe kwa wakati ili kuondoa mkanganyiko kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ikiwemo … Continue reading RAS Arusha ataka mikopo ikusanywe iwafaidishe wengine
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed