MARCUS Rashford hajajumuishwa kwenye kikosi cha Man United kinachoanza mchezo wa EPL dhidi ya Fulham leo.
Kwa mujibu wa taarifa ya mwandishi wa habari, Fabrizio Romano uamuzi wa Ten Hag kutomuanzisha Rashford hauhusiani na tukio la kusherehekea siku yake ya kuzaliwa baada ya kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya Man City wiki iliyopita, tukio lililokemewa na kocha huyo.
–
Kuelekea mchezo huo, Varane ameanzia nje, Mount Mason pia benchi.
–
Kikosi kinachoanza cha Man United: Onana; Wan-Bissaka, Maguire, Evans, Dalot; McTominay, Eriksen, Fernandes; Garnacho, Antony; Hojlund.
Comments are closed.