RASMI: Sillah ajiunga Azam FC

KLABU ya Azam FC, imemsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Athletic kwa mkataba wa miaka miwili.

Azam wametangaza usajili huo kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii baada ya kukamilisha taratibu za usajili.

“Huo ni usajili wetu wa pili kuelekea msimu ujao, baada ya awali kunasa saini ya kiungo mshambuliaji mwingine Feisal Salum.” Imeeleza taarifa ya Azam FC.

Habari Zifananazo

Back to top button