RASMI: Verratti atimika Qatar

KIUNGO wa Kitaliano, Marco Verrati leo ametambulishwa rasmi na klabu yake ya Al-Arab ya nchini Qatar akitokea PSG ya Ufaransa.

Verrati aliwasili Doha juzi kukamilisha usajili huo wa €45m.

Advertisement

3 comments

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *