RC Sawala ataka bidii kwa wanafunzi Mtwara

MKUU wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala amewataka wanafunzi wa kidato cha nne kutoka shule ishirini za sekondari zilizopo katika Manispaa ya Mtwara Mikindani kusoma kwa badii ili kujiandaa na kesho iliyo bora. Akizungumza mkoani Mtwara wakati wa kongamano la elimu kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka 2025 lililofanyika katika manispaa hiyo, mkuu … Continue reading RC Sawala ataka bidii kwa wanafunzi Mtwara