REA kuwaunga mkono waendelezaji miradi ya umeme
NJOMBE: WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umehaidi kuendelea kuwaunga mkono waendelezaji wa miradi ya kuzalisha na kusambaza umeme ili kuwezesha wananchi wengi kufikiwa na huduma bora ya nishati ambayo inachangia kuinua uchumi wa wananchi pamoja na huduma za kijamii. Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu amebainisha hayo mkoani … Continue reading REA kuwaunga mkono waendelezaji miradi ya umeme
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed