- #BREAKING: Klabu ya West Ham United imesaini karatasi za mauzo ya £105m kwa Declan Rice kwenda Arsenal.
Mtandao wa Sky Sports umeeleza kuwa baada ya kitendo hiko ‘The Gunners’ wanatarajia kutangaza makubaliano kabla ya ziara ya Marekani Jumapili.
West ham ‘The Hammers’ walikubali uhamisho huo siku nane zilizopita ila walikuwa hawaelewi kinachochelewesha kukamilisha dili hilo.
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, timu hizo mbili zitatangaza kuuziana mchezaji huyo leo.
Home Rice kutangazwa Arsenal leo
Comments are closed.