Rodrigo kusaini mkataba mpya Madrid

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Rodrygo, anakaribia kusaini mkataba mpya wa muda mrefu huko Madrid.

Kwa mujibu wa mwandishi wa habari za michezo, Fabrizio Romano, makubaliano yamethibitishwa.

Mkataba huo utaisha Juni 2028 kama mchezaji muhimu, bora kwa mipango ya sasa na ya siku zijazo Real Madrid.

Imeelezwa kwenye mkataba huo kuna kifungu kipya cha realese clause: €1B

Habari Zifananazo

Back to top button