Ruto aapishwa kuwa Rais wa Kenya

NAIBU Rais wa Kenya, Dk William Ruto, leo ameapishwa kuwa Rais wa Tano wa nchi hiyo.

Sherehe za kumuapisha Ruto zimefanyika kwenye Uwanja wa Kasarani mjini Nairobi na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi, pamoja na viongozi wa nchi mbalimbali akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania.

 

Habari Zifananazo

Back to top button