Ruto ataka usalama kukuza maendeleo Kenya

RAIS wa Kenya Dk. William Ruto amesema taifa hilo lazima liikabili changamoto ya usalama wa mali na watu ili kukuza maendeleo na kuboresha maisha ya wakenya wote.

Amesema wakati akiongoza mahafali ya polisi wa utawala katika chuo cha Embakasi kilichopo jijini Nairobi.

“Usalama ndio msingi wa harakati za matarajio yote na maendeleo ya jamii huru ya kweli, iliyo wazi na ya kidemokrasia,” amesema Rais Ruto.

Habari Zifananazo

Back to top button