Jaji Mkuu azindua vikao vya Mahakama ya Rufani Moro

Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma akiongozwa na Mrakibu Msaidizi wa Polisi (ASP), Fadhili Tambale  kukagua  gwaride la Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkoa wa Morogoro  ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa vikao vya Mahakama ya  Rufani katika Kituo Jumuishi cha Mahakama kuu Kanda ya Morogoro  vilivyoanza leo April 24  na kutarajia kufikia tamati Mei 12, ,2023 (Picha na John Nditi).

Habari Zifananazo

Back to top button