Rwanda kama Tanzania, ni Sensa 2022

Rais Paul Kagame akihesabiwa

Kwa mara nyingine, wakati Tanzania ikifanya zoezi la Sensa ya Watu na Makazi 2022, nchini Rwanda zoezi hilo linaendalea kama kawaida ambapo Rais Paul Kagame naye ameshiriki kuhesabiwa akiwa nyumbani kwake.