Samia amfariji aliyepoteza watoto 2

MANYARA; Rais Samia Suluhu Hassan akimfariji muathirika wa mafuriko yaliyotokea Katesh, Salome Elifuraha ambaye amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tumaini iliyopo Katesh, Hanang. Salome amepoteza watoto wawili kwenye maafa hayo, huku mtoto wa 3 akiwa bado hajapatikana hadi sasa.

 

Advertisement
2 comments

Comments are closed.